binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Kwa ratiba hii ya chakula na vyakula unavyokula nasadikika kusema utakuwa na ngozi nzuri laini isiyo na mafuta mafuta maana nimegundua vyakula vyako ni vya asili na vingi ni mchemsho visivyo na mafuta. Hongera sana.
Muda mwingi huwa nakula restaurant maana kupika inachukua muda labda wikiendi moja nitajitahidi kukurushia huko kwa waziri mkuu 😊. Embu wacha zako uchumi wa kati wakati ukiwauliza watu 100 utakaokutana nao barabarani kama wana elfu kumi watasema hawana 😂Haaaa mkuu..... najitahidi tahidi si wajua tena tumefikia uchumi wa kati? 😀 Mengine tutayaongea kule kwa waziri mkuu.
Btw, utuwekee chakula cha kibachelor hapa tufaidi wenzio.
Dona nilikosa𝙷𝚞𝚘 𝚞𝚐𝚊𝚕𝚒 𝚞𝚗𝚐𝚎𝚔𝚞𝚠𝚊 𝚠𝚊 𝚍𝚘𝚗𝚊 𝚒𝚗𝚐𝚎𝚔𝚞𝚠𝚊 𝚖𝚠𝚊𝚔𝚎 𝚊𝚒𝚜𝚎𝚎
Hiki ni chakula gani mkuu?
Haya maharagwe matamu kwa kuangalia tu
Naona umeaga ardhi ya Dodoma
Kwanini?Naona umeaga ardhi ya Dodoma
Niko sawa kwanza?Kwanini?
Hapana [emoji16]Niko sawa kwanza?
Sawa..Hapana [emoji16]
KaribuSawa..
Ndizi Bukoba hii