Uzi wa vyakula tu

Nafurahi umefurahi Iceberg9 😊😊

Kwakweli chapati ukizipatia na mboga hizo ulizotaja ni balaa. Yani ukifanya mchezo hata kama uko kwenye diet unajisahau kabisa.

Ni muda nilikuwa sijapika chapata (almost 2 years hivi nikawaka nanunua kwa wamama wanaochomaga asubuhi/jioni 🙈🙈) kwahiyo jana nilikuwa napika kwa wasiwasi 😟😟 ila zilitoka tamu sana na walaji walifurahi 🙂🙂

Kweli kukanda ndio inakuwaga changamoto kwa wengi. Na shughuli yake sio mchezo ndo maana mie hiwa sipikagi chapati if I'm not in a really good mood 🙃🙃

Picha ya mwisho nilitupia ili angalau ule kwa macho 😉😉
 
Hujapika chapati for 2yrs ohh nimekufanya upike sio hongera mno, nafurahi kuona umetimiza ahadi yangu, ni muda Hujapika ila zimeonekana nzuri sana sana sana na zenye kuleta hamu,

Napenda chapati kwa kweli ila michakato ya upishi wa chapati ndiyo tabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…