Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Sehemu gani zenji wanapika vyakula vya seafood vizuri na vitamuuu
Haya matunda yana miba nayaogopa eti [emoji23][emoji23][emoji23], ngoja nije zenji nasikia zenji kuna kila kitu
KidariKwanini paja la kuku linapewa heshima sana wakati kuna sehemu zingine za kuku tamu zaidi ya paja?
nimekaanga ndizi mzuzu....weka mayai tu yaliyochanganywa na vitunguu,hoho na karoti unakata vidogo vidogo then unakaanga kama chipsi mayai tu..[emoji39][emoji39]tamuu
Kwanini paja la kuku linapewa heshima sana wakati kuna sehemu zingine za kuku tamu zaidi ya paja?
Basi hayo ni matunda ya matajiri.ha hahahahaha si mchezo, moja elfu tano ilo mpaka elfu kumi
Basi hayo ni matunda ya matajiri.
Sijaona nyama tamu kwenye kuku zaidi ya pajaKwanini paja la kuku linapewa heshima sana wakati kuna sehemu zingine za kuku tamu zaidi ya paja?
Haya matunda yanaonekana mabaya haya sujui ladha yake itakuwaje.View attachment 1638631
Madoriani, matamu sana ila harufu yake ndio yameingia ila
Sijaona nyama tamu kwenye kuku zaidi ya paja
Kabisa rafikiWe umeongea [emoji39][emoji108]
Miguu ina radha yakeKabisa rafiki
Mimi nisipokula paja naona kama sijala kuku.
Paja jina tuu ila sio tamu kiivoSijaona nyama tamu kwenye kuku zaidi ya paja
Wewe wasemaPaja jina tuu ila sio tamu kiivo
Wapenda kuku utawajua tuKabisa rafiki
Mimi nisipokula paja naona kama sijala kuku.
Utajua tu watu walaji wa kuku, ila mini kidari nakifurahia sana vimfupa na pia huwa ni kubwa, kidari kilichochomwa au kukaangwa ni kwikwiWe umeongea [emoji39][emoji108]
Nahitaj pesa kiasi gani ili nikifika zenji maeneo mazuri mazuri sehemu za kulala nzuri, nipate hata boti nizunguke ziwani, nile vyakula vitamuuu yani nile nijigalagaze, niinjoi, nipumzishe akili, nifurahi vilivyo nikitoka hapo memories zibaki kichwani kwa siku 14 kwa hesabu ya watu wawili, hebu nishawishi utalii wa ndaniShangani, stone town kuna cafe inaitwa archepilago, hapa utaenjoy kwa kweli