Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Karanga
IMG_20201201_204718_7.jpg
 
Shangani, stone town kuna cafe inaitwa archepilago, hapa utaenjoy kwa kweli
Nahitaj pesa kiasi gani ili nikifika zenji maeneo mazuri mazuri sehemu za kulala nzuri, nipate hata boti nizunguke ziwani, nile vyakula vitamuuu yani nile nijigalagaze, niinjoi, nipumzishe akili, nifurahi vilivyo nikitoka hapo memories zibaki kichwani kwa siku 14 kwa hesabu ya watu wawili, hebu nishawishi utalii wa ndani
 
Back
Top Bottom