Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Ubaya wake anaweka maviungo mengi..wale tunaopenda nyama og hatuzitaki kwa sababu tunakua hatupati ile taste yenyewe ya nyamaTabata yote mpaka kinyerezi kuna vijiwe vinafanya maajabu ya misosi, kazimoto ile mishikaki ya nguruwe ni hatari lainiii na ni mitamu
hapa kuna mharo baada ya shibe[emoji847]View attachment 1627861
Sijawah fikiria hata siku moja kama Kuna mixtures ya hivi vitu
NimeTupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee tupia tuu kiwe kibaya au kizuri leta tu hapa, tuwatamanishe watoke miudenda wale kulakulaView attachment 566179View attachment 566180
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemmiss huyo chamaki nchangaTupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee tupia tuu kiwe kibaya au kizuri leta tu hapa, tuwatamanishe watoke miudenda wale kulakula[emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 566179View attachment 566180
Sent using Jamii Forums mobile app
Nini hiki?
Viungo ndiyo mpango sasa , ila ukitaka ladha ya nyama OG ya ng'ombe nenda moshi, Arusha au Mwanza,Ubaya wake anaweka maviungo mengi..wale tunaopenda nyama og hatuzitaki kwa sababu tunakua hatupati ile taste yenyewe ya nyama
Huyu Mama alindwe at all cost! Ni treasure kwa taifa.Mama mmoja yupo segerea stendi, saa11.30 asbView attachment 1649950
Mara ya Kwanza nakula vitumbua vina vanillaHuyu Mama alindwe at all cost! Ni treasure kwa taifa.
Utakuwa mjamwepesi si bureUmeharibu kweny avocado, mie sipend kabisaaah hat kuyaona nahis kutapika tyuuh.
Kabisaa mloge huyo hadi mzaz wake wa kike tumbo la uzazi ligeuke.hakika hapa nipo njiani naenda mloga mtoto wa mtu