Mmmhh kasheshe. Mambo ya kula bila nyama au kuku au samaki siyawezi.
Kukonda kazi aiseee [emoji25]
Dada mkubwa ni kitambi cha kitimoto?πππnachukia kitambi kuliko kitu chochote ni heri nishindie maji ila nisiwe na tumbo[emoji23][emoji23][emoji23]sasa nakiona kinaanza
Hii sio pale stendi Tokyo kwa chini hivi,? kuna chaka pale unaweza kula mdudu km kilo 10 na ukarudi baada ya dk 10 tu ukaoda ya kupiga nswakiπ,tamu sana
Rombo green view Sinza hukosiNimetafuta ndizi utumbo mpaka nimechoka....
kinavutia
Rombo green view Sinza hukosi
Hapa ukijamba vinanuka kama gari la majitaka
Mihogo point [emoji16]Location please..
Rafiki kelele hazifai,wewe endelea tu kutupia kimyakimya!πππHahaaa au mimi nianze kutupia na kelele
Thanks...nikirudi daslam nitafika hapo kutafuna mihogo.Mihogo point [emoji16]
[emoji16][emoji16] sawa rafikiRafiki kelele hazifai,wewe endelea tu kutupia kimyakimya![emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji4][emoji4]Thanks...nikirudi daslam nitafika hapo kutafuna mihogo.
Mwenge?Mihogo point [emoji16]
YeeeeereeMwenge?
Wako vizuri Kweli hao jamaaYeeeeeree