Maandalizi.... Kwani mmeacha kutumia Nazi ya Azam iliyo tayari
Hahaaaaaa kwani hatumii Nazi hizihizi??Sio halisi halafu inasababisha saratani una upungufu wa nguvu halafu inapunguza ubunifu na kuleta uzembe
Wewe hapo ndiye huyo alievaa ndala za chuma?Kipindi flani kwenye chaka moja maeneo ya Orkesmet.
View attachment 1761214
Huo ugali tunakula mtu 4 tu.
View attachment 1761213
View attachment 1761207
Hahaha hapana mzee wa chura. Kwanza hapo hamna ndala za chuma kuna sandal za ngozi na raiyoo.Wewe hapo ndiye huyo alievaa ndala za chuma?
Kuna maísha niliishi nchi moja inayopakana na nchi nyingine sio Afrika... Tullikula nyama ya punda siku 90 mara tatu kwa siku...mwisho tukawa na harufu ya punda kabisaKipindi flani kwenye chaka moja maeneo ya Orkesmet.
View attachment 1761214
Huo ugali tunakula mtu 4 tu.
View attachment 1761213
View attachment 1761207
[emoji3][emoji3][emoji2][emoji2]Wewe hapo ndiye huyo alievaa ndala za chuma?
Hahaha huko yenyewe tumekula sana pofu, funo, swala, muhanga, nungunungu, punda milia, swala, njiwa pori (hawa tulikuwa tunawinda usiku kwa tochi ni rahisi sana) na kondoo za wamasai zenye miloo.Kuna maísha niliishi nchi moja inayopakana na nchi nyingine sio Afrika... Tullikula nyama ya punda siku 90 mara tatu kwa siku...mwisho tukawa na harufu ya punda kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe hapo ndiye huyo alievaa ndala za chuma?
Wewe ni yupi hapo?Hahaha hapana mzee wa chura. Kwanza hapo hamna ndala za chuma kuna sandal za ngozi na raiyoo.
Hahaha utawezaje kunifahamu boss kama hamna sura inayoonekana? Kama unataka kunifahamu sema niweke picha yangu hapa. 😆Wewe ni yupi hapo?
Unasema tu Wewe ni yupi tunakuona mwili bila sura[emoji1787]Hahaha utawezaje kunifahamu boss kama hamna sura inayoonekana? Kama unataka kunifahamu sema niweke picha yangu hapa. [emoji38]
Ngoja nakutumia PM.Unasema tu Wewe ni yupi tunakuona mwili bila sura[emoji1787]
Kumbe unaweza kuweka picha [emoji847]
Weka basi boss nione.
Usinidanganye[emoji4]Ngoja nakutumia PM.
Usinidanganye[emoji4]Ngoja nakutumia PM.
Utaamini?Usinidanganye[emoji4]
Nasubiri
[emoji23][emoji23][emoji23]Utaamini?