Hata kama ningekuwa nimefunga ningefungua kwa siri[emoji16][emoji3][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Itifaki imezingatiwa!View attachment 1761386
[emoji23][emoji23]Hata kama ningekuwa nimefunga ningefungua kwa siri[emoji16][emoji3][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23]
Ngoja nianze kuwasambazia maharage yaliyoungwa vizuuri na nyama na kuhifadhiwa kwenye makopo (cans) bila kuweka kemikali za preservatives. Itakuwa Ni kwa ajili ya mnaoenda makambi, porini n.k. Unasonga ugali mboga tayari.Kipindi flani kwenye chaka moja maeneo ya Orkesmet.
View attachment 1761214
Huo ugali tunakula mtu 4 tu.
View attachment 1761213
View attachment 1761207
Hatutanunua mkuu maana huku ni camp kama sobibor. Ukileta mambo ya raha watu hawataki.Ngoja nianze kuwasambazia maharage yaliyoungwa vizuuri na nyama na kuhifadhiwa kwenye makopo (cans) bila kuweka kemikali za preservatives. Itakuwa Ni kwa ajili ya mnaoenda makambi, porini n.k. Unasonga ugali mboga tayari.
Hii kitu umeipikaje, nataka namie nipike
Hivyo vitunguu vya majani ni amazing sana!πππ
Hahaha hiyo kichwa ya jogoo dah [emoji23][emoji23]
Uje uchukue na chai ya kunywea[emoji23]Hivyo vitunguu vya majani ni amazing sana![emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119]we Dada,,no chai no mealUje uchukue na chai ya kunywea[emoji23]
π€£π€£π€£Uje uchukue na chai ya kunywea[emoji23]