[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]Majina yote yanatumika.
Ila kuna masela hio bamia wanamaanisha kitu ingine. Kuna watu Sio watu [emoji1787]
Zipi zile za kupikwa au za Kulia wali?Mamy hivi uneza changanya ndizi zilizo iva na mayai uka aanga ? Angel Nylon
Dduh. Hapo sasa sijui kitakuwa chakula gani. Jaribu lkn [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Zile za kulia ubwabwa nasema..za njano zile
Nimewaza hivi uchukue uziponde ponde uchanganye na yai alaf ukaange kama chapati au vyovyote vile
Sijui itamake sense kweli ?
Jaribu mkuu maana recipies mpya zinakuja kila siku. Huwezi jua hii yako inaweza kuwa big hit.Zile za kulia ubwabwa nasema..za njano zile
Nimewaza hivi uchukue uziponde ponde uchanganye na yai alaf ukaange kama chapati au vyovyote vile
Sijui itamake sense kweli ?
Mi nikiona mdada anachoma chapati kama hivi huwa nafananisha utamu wa mbususu yake na chapati anazochoma!
Bro kila invention unayoona kwenye hii dunia zilianzia kwenye wazo kama hivyo na waliowaza waliona ni ujinga ila waliojiongeza kutekeleza ndio hawa wamiliki wa KFC, MaryBrown na brand zingine.Mazingira yangu hayaruhus yani vifaa na ujuz mwengine sina...Mimi kupika sijui ndio nigundue recipes mpya mmhh sijui lakini
Mimi nimewaza complete kabisa yani unachukua ndizi zako za kutosha unaosha,,,,unamenya,,,,unakata vipande unaeka kwa brenda N.A. mayai unapasua kazaa unaweka kwa kibakuli alaf unachangany kiini na udenda (hvi inaitwa udenda ule) na chumvi ausio
Sasa hapo unaweka Pamoja kwa brenda unakoroga Hivi hapo si unatatoa kitu kama mtori anapostigi Chalii fransc
Sasa ule mtori unaeza katia Karoti, hoho na vitunguu maji tudogo dogo alaf ndio unawek kwa flampeni + mafuta unakaanga ausio
Hichi kitu kitakua kitamu wazee, ,,, wazoef wa kupika wajaribu Angel ukiwez jarbu ausio
Tobaa [emoji134]. At your own risk [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mazingira yangu hayaruhus yani vifaa na ujuz mwengine sina...Mimi kupika sijui ndio nigundue recipes mpya mmhh sijui lakini
Mimi nimewaza complete kabisa yani unachukua ndizi zako za kutosha unaosha,,,,unamenya,,,,unakata vipande unaeka kwa brenda N.A. mayai unapasua kazaa unaweka kwa kibakuli alaf unachangany kiini na udenda (hvi inaitwa udenda ule) na chumvi ausio
Sasa hapo unaweka Pamoja kwa brenda unakoroga Hivi hapo si unatatoa kitu kama mtori anapostigi Chalii fransc
Sasa ule mtori unaeza katia Karoti, hoho na vitunguu maji tudogo dogo alaf ndio unawek kwa flampeni + mafuta unakaanga ausio
Hichi kitu kitakua kitamu wazee, ,,, wazoef wa kupika wajaribu Angel ukiwez jarbu ausio
Au usikute wewe ndio utakuwa muanzishaji wa hii recipeAu usikute huu Mzigo upo ila kumbe me sijui ulafi wang tuu
Utakuwa unatengeneza kitu kinafanania na polish potatoesMazingira yangu hayaruhus yani vifaa na ujuz mwengine sina...Mimi kupika sijui ndio nigundue recipes mpya mmhh sijui lakini
Mimi nimewaza complete kabisa yani unachukua ndizi zako za kutosha unaosha,,,,unamenya,,,,unakata vipande unaeka kwa brenda N.A. mayai unapasua kazaa unaweka kwa kibakuli alaf unachangany kiini na udenda (hvi inaitwa udenda ule) na chumvi ausio
Sasa hapo unaweka Pamoja kwa brenda unakoroga Hivi hapo si unatatoa kitu kama mtori anapostigi Chalii fransc
Sasa ule mtori unaeza katia Karoti, hoho na vitunguu maji tudogo dogo alaf ndio unawek kwa flampeni + mafuta unakaanga ausio
Hichi kitu kitakua kitamu wazee, ,,, wazoef wa kupika wajaribu Angel ukiwez jarbu ausio
Kuna watu wanateseka sana wanataka kuishi miaka miaHeee huu mzigo upogo wazee.View attachment 1774966
Ushantia njaa! 🤣wali na ndondo[emoji39]View attachment 1775199
karibusana mkuuUshantia njaa! [emoji1787]