Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Majina yote yanatumika.

Ila kuna masela hio bamia wanamaanisha kitu ingine. Kuna watu Sio watu [emoji1787]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
JamiiForums-1488292992.jpg
 
Zile za kulia ubwabwa nasema..za njano zile
Nimewaza hivi uchukue uziponde ponde uchanganye na yai alaf ukaange kama chapati au vyovyote vile
Sijui itamake sense kweli ?
Jaribu mkuu maana recipies mpya zinakuja kila siku. Huwezi jua hii yako inaweza kuwa big hit.
 
Mazingira yangu hayaruhus yani vifaa na ujuz mwengine sina...Mimi kupika sijui ndio nigundue recipes mpya mmhh sijui lakini

Mimi nimewaza complete kabisa yani unachukua ndizi zako za kutosha unaosha,,,,unamenya,,,,unakata vipande unaeka kwa brenda N.A. mayai unapasua kazaa unaweka kwa kibakuli alaf unachangany kiini na udenda (hvi inaitwa udenda ule) na chumvi ausio

Sasa hapo unaweka Pamoja kwa brenda unakoroga Hivi hapo si unatatoa kitu kama mtori anapostigi Chalii fransc

Sasa ule mtori unaeza katia Karoti, hoho na vitunguu maji tudogo dogo alaf ndio unawek kwa flampeni + mafuta unakaanga ausio

Hichi kitu kitakua kitamu wazee, ,,, wazoef wa kupika wajaribu Angel ukiwez jarbu ausio
Bro kila invention unayoona kwenye hii dunia zilianzia kwenye wazo kama hivyo na waliowaza waliona ni ujinga ila waliojiongeza kutekeleza ndio hawa wamiliki wa KFC, MaryBrown na brand zingine.

Ukiwa na wazo usijivunge kaka jiongeze unaweza kuwa umeutema utajiri kwa uoga.
 
Mazingira yangu hayaruhus yani vifaa na ujuz mwengine sina...Mimi kupika sijui ndio nigundue recipes mpya mmhh sijui lakini

Mimi nimewaza complete kabisa yani unachukua ndizi zako za kutosha unaosha,,,,unamenya,,,,unakata vipande unaeka kwa brenda N.A. mayai unapasua kazaa unaweka kwa kibakuli alaf unachangany kiini na udenda (hvi inaitwa udenda ule) na chumvi ausio

Sasa hapo unaweka Pamoja kwa brenda unakoroga Hivi hapo si unatatoa kitu kama mtori anapostigi Chalii fransc

Sasa ule mtori unaeza katia Karoti, hoho na vitunguu maji tudogo dogo alaf ndio unawek kwa flampeni + mafuta unakaanga ausio

Hichi kitu kitakua kitamu wazee, ,,, wazoef wa kupika wajaribu Angel ukiwez jarbu ausio
Tobaa [emoji134]. At your own risk [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mazingira yangu hayaruhus yani vifaa na ujuz mwengine sina...Mimi kupika sijui ndio nigundue recipes mpya mmhh sijui lakini

Mimi nimewaza complete kabisa yani unachukua ndizi zako za kutosha unaosha,,,,unamenya,,,,unakata vipande unaeka kwa brenda N.A. mayai unapasua kazaa unaweka kwa kibakuli alaf unachangany kiini na udenda (hvi inaitwa udenda ule) na chumvi ausio

Sasa hapo unaweka Pamoja kwa brenda unakoroga Hivi hapo si unatatoa kitu kama mtori anapostigi Chalii fransc

Sasa ule mtori unaeza katia Karoti, hoho na vitunguu maji tudogo dogo alaf ndio unawek kwa flampeni + mafuta unakaanga ausio

Hichi kitu kitakua kitamu wazee, ,,, wazoef wa kupika wajaribu Angel ukiwez jarbu ausio
Utakuwa unatengeneza kitu kinafanania na polish potatoes
 
Back
Top Bottom