Mazingira yangu hayaruhus yani vifaa na ujuz mwengine sina...Mimi kupika sijui ndio nigundue recipes mpya mmhh sijui lakini
Mimi nimewaza complete kabisa yani unachukua ndizi zako za kutosha unaosha,,,,unamenya,,,,unakata vipande unaeka kwa brenda N.A. mayai unapasua kazaa unaweka kwa kibakuli alaf unachangany kiini na udenda (hvi inaitwa udenda ule) na chumvi ausio
Sasa hapo unaweka Pamoja kwa brenda unakoroga Hivi hapo si unatatoa kitu kama mtori anapostigi Chalii fransc
Sasa ule mtori unaeza katia Karoti, hoho na vitunguu maji tudogo dogo alaf ndio unawek kwa flampeni + mafuta unakaanga ausio
Hichi kitu kitakua kitamu wazee, ,,, wazoef wa kupika wajaribu Angel ukiwez jarbu ausio