Kwa kweli ndiyo maana nazidi kukonda[emoji1787]Nkamu hebu ongeza wali ndiyo maana hunenepi.
Chakula changu pendwa hiko[emoji39]
Kwa kweli ndiyo maana nazidi kukonda[emoji1787]
Hapo nlikunywa tu uji asbh.
Nafanya diet ya mauaji bila kujijua.
Mimi mvivu mno kula.
Bora ungenipa pole..hongera kwa kweli, natamani ningekua mvivu kula ila mwee nina apetite ya kutosha[emoji2]
"Nyama choma for everybody!"... (in konde's vioce) π€£π€£π€£Konde boy mjeshiView attachment 1862745
Zinapatikana wapi mkuu?Nunua mint iliyokomaa ile ambayo hawajakata Kwenye mizizi
Pandikiza kwenye pots umwagilie maji ya kutosha
Yanaitwaje?Halafu chai yangu ninayokunywa huwa natumia majani fulani hivi,majani pori ambayo pia ni mazuri kwa afya.
Sijui jina lake ila ni majani maarufu sana kule mikoa yetu.Yanaitwaje?
Siku ukienda porini tuma picha.Sijui jina lake ila ni majani maarufu sana kule mikoa yetu.
Yanachumwa ,yanaanikwa tayari kwa matumizi.
Wengine hutwanga na kuchekecha.
Sawa ila huwa sichumi Mimi[emoji16]Siku ukienda porini tuma picha.
Shukrani sana mdogo wangu wa kienyeji(In Chakorii voice)πππSawa ila huwa sichumi Mimi[emoji16]
Nitahakikisha naenda.
Hapo je?[emoji1545][emoji736][emoji817]View attachment 1863077