Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Konde boy mjeshi
IMG_20210721_223900.jpg
 
hongera kwa kweli, natamani ningekua mvivu kula ila mwee nina apetite ya kutosha[emoji2]
Bora ungenipa pole..
Hiko chakula kilitaka kunishinda kumaliza.

Na kilo zangu ni chache,haziniruhusu kuzembea kula.
Naanza kulazimishwa kula kwa nguvu[emoji1787]

Jitahidi usile Mara kwa mara,,siku nyingine unafunga tu.
Punguza kiwango Cha chakula,kidogo kidogo utajikuta unazoea.
Mimi nimezoea kufunga,sometimes huwa nakula usiku tu hata wiki nzima na Naona kawaida tu.
 
Back
Top Bottom