CAGvsSPEAKER
JF-Expert Member
- May 16, 2019
- 1,339
- 5,048
Mshana tusaidiane kufanya utafiti. Mi naona asilia zaidi ya 75 ya wana jf kwasasa ni mabachela. Yaani misosi yote inayopostiwa humu ni ya single,huoni dalili kuwa kuna familia.
Hahahaha nadhani wengi wanaogopa kuonesha mazingira yoteMshana tusaidiane kufanya utafiti. Mi naona asilia zaidi ya 75 ya wana jf kwasasa ni mabachela. Yaani misosi yote inayopostiwa humu ni ya single,huoni dalili kuwa kuna familia.
Mbaya zaidi hata haviwekwi mezani. Vingi utaona tiles tu ndo meza. Nisaidie kugundua hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]labda,ila na misosi ndo iwe sahani moja na kijiko kimoja tu?,halafu meza ni sakafu?Hahahaha nadhani wengi wanaogopa kuonesha mazingira yote
[emoji23][emoji23][emoji23]Shukrani sana mdogo wangu wa kienyeji(In Chakorii voice)[emoji16][emoji16][emoji16]
Vile nimefura baada ya kukosa chai hapo[emoji16][emoji16][emoji16]Nani mwingine anakula nyama ya kanga?View attachment 1863329
Tafuta mbegu kwenye maduka ya kilimo.Zinapatikana wapi mkuu?
[emoji38]Vile nimefura baada ya kukosa chai hapo[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1863371
Omelet& scrambledHapo mimi napenda fried pamoja na soft boiled.View attachment 1863364
Mbeya ni joto kali?😳[emoji38]
Chai nimepunguza..huku joto ni kali.
Shukrani wifi😁😁😁Tafuta mbegu kwenye maduka ya kilimo.
Jifunze kula kile ambacho mwili unahitaji na siyo kile unachovutiwa nacho au unachokipenda wewe.Sasa yai ambalo limeunguzwa lina virutubisho gani?Omelet& scrambled
Yai bichi kabisa hilo,kiini kibichi sijala bado.Jifunze kula kile ambacho mwili unahitaji na siyo kile unachovutiwa nacho au unachokipenda wewe.Sasa yai ambalo limeunguzwa lina virutubisho gani?
Ndiyo[emoji23][emoji23][emoji23]Mbeya ni joto kali?[emoji15]
Wifi yako kwa nani tena?Shukrani wifi[emoji16][emoji16][emoji16]
Una matatizo makubwa sana.Brace for impact!Yai bichi kabisa hilo,kiini kibichi sijala bado.
Kama virutubisho bora nivikose.
Mayai ambayo huwa nakula mimi hayakauki sana,Una matatizo makubwa sana.Brace for impact!