Uzi wa vyakula tu

Chakula cha kieithiopia "ZIGNI" ni CHAPATI mchanganyiko wa unga wa ngano na mahindi.
ZIGNI huliwa na vitoweo au mbogamboga zilizo changanwa na na pilipili za kihabeshi, vyakula vao waeithiopia wanaweza wakala wao tu, mtu mwingine hawezi kutokana na wingi wa pilipili kali kichaa
 

Attachments

  • FB_IMG_1627051356129.jpg
    40.8 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…