Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Nitakaribia unifundishe na mimi japo kidogo[emoji4]Mualiko huo [emoji1787]
Hahah!Vyakula vya watu wavivu kupika[emoji16]
Mambo vipi Anne!
Zinapatikana wapi mkuu?
Mint maporini!!Sidhani labda umefananisha.
Huku Kwetu inauzwa kiche sh 500 mpk elfu 1
Diet inataka uamue kweli kutoka moyoni. 😜😜Nimeanza Diet ila kuna watu hawapendi mafanikio yangu kabisa,[emoji28][emoji28]
Hata najua basi. Ila kotmir najua haina roho mbaya.Hivi mint inastawi kwenye mazingira gani?Ni kwenye hali zote za hewa na udongo?
Mkuu wewe pengine mwenyeji wa huko na umezoea na ndio vyakula vilivo kukuza, unaona ni kawaida tu, kero ipo kwa wageni ambae hawajazoeya!Haunuki uvundo mkuu,labda kama mlikuta huo unga umeoza.
[emoji23]Mkuu wewe pengine mwenyeji wa huko na umezoea na ndio vyakula vilivo kukuza, unaona ni kawaida tu, kero ipo kwa wageni ambae hawajazoeya!
Ni kwenye maduka ya pembejeo?Kwa sasa ni Ilala,Kisutu na Buguruni kwa watu wa Dar
Mikoani sijajua
hapana kwenye masoko ya vyakula upande wa viungo haiNi kwenye maduka ya pembegeo?