Uzi wa vyakula tu

[emoji7][emoji39][emoji39][emoji39]
Kinavutia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anayejisikia kula pilau aje nimpe location [emoji4].
View attachment 1867748

Sent using Jamii Forums mobile app
Pilau siyo chakula bora ila kwa jinsi ulivyoandaa hii kwa kuweka viazi,kachumbari,juice pamoja na hizo nyanya chungu imekuwa ni chakula bora.

Siku nyingine ukipika pilau weka mchele kidogo ila kachumbari,nyanya chungu,bamia na viazi viwe vingi.Pia hakikisha kuwa mboga za majani zipo kwa wingi bila kusahau matunda.Ukifanya haya basi pilau inakuwa ni chakula bora.Chakula bora ni kile kinachokupa uhakika wa kupata virutubisho mbalimbali, appetite,pamoja na siyo tu kupata choo bali iwe choo laini.
 
Angalau leo umenisifia[emoji1787]

Mchicha wa kuchemsha nimekula sana asubuhi ndiyo maana mchana sijaula.

Pilau Nimekula kidogo mno leo,Nimekula zaidi kachumbari na nyanyachungu+bamia.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…