Hii kitu ni tam kuliko vyakula vyote dunian,daaah
Wali kisamvu na nyama
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kongole mwanawane
Mkuu, sh.ngapi huu mzigo?
Kama unaishi sinza utakuwa unajua sehemu hii maarufu ya mbuzi
Hapa ndipo akili znagu zinafikaga mwisho.
Hapo limekosekana tembele mkuu
Ugali na dagaa mchele
Ulaji mbaya sana huu Nokia.sumu mwanzo mwisho.utazeeka vibaya
Mimi siogopi uzee kbsUlaji mbaya sana huu Nokia.sumu mwanzo mwisho.utazeeka vibaya View attachment 701671
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
NaaaaaaamNaam
Hahaha hii ni dawa murua kwa wazee 2a viti virefu...Mungu hapendi hujui wengine tumeshindaje
Tumbo langu miee