Clarity
JF-Expert Member
- Jul 6, 2010
- 1,828
- 2,637
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah still single? [emoji85]Kuna kijij nilienda huko Bukoba karibu kabisa na mto Ngono kuna samaki, uzalendo ulinishinda nikaomba sufuria nifanye yangu
Sent from Ili iweje
Nope married with 4 kids [emoji3]
Watu na bahati zao... Vizuri sanaNope married with 4 kids [emoji3]
Sent from Ili iweje
Asante ndg
Duu mmojawapo kapitishia mkono kwapaniNilienda garage moja wakati nasubiri gari mafundi walikuwa wanaandaa msosi nikaomba niwaandalie mboga (dagaa, bamia, nyanya chungu na mazagazaga mengine)
Duh ilikuwa hatari
Sent from Ili iweje
Nikweli aisee, hata vyura watu wanakula,,Kwenye baa la njaa unakula mpaka mende na mijusi[emoji28]
RubiiKimimi[emoji85]
HahahahaaaaSi unaona mwenyewe kitu yenyewe ya Chuku Chuku.
Halafu bila shaka hapo imekolea Ndimu au Limao na Ugali wa Muhogo tena.
Kama ulikuwepo.
Kitu kinateleza tu.
Yaani hata usipotafuna vizuri Tonge linateleza bila wasi.
Ugali wa Muhogo, au ukipenda Bada. Acha tu.
Kuna ule ambao unakuwa kama rangi ya mbao ile iliokolea.
Na kuna ule ambao unakuwa rangi kama Nyeusi si Nyeusi, Kijani si Kijani.
Kiongozi, umenitamanisha sana.
Sijui kwanini umeutaja Ugali wa Muhogo.
Jamani
Tena hakuna chakula ghali kama miguu yakeNikweli aisee, hata vyura watu wanakula,,
Kututamanisha wenye njaa huo nao ni uloziSiku hizi umeacha ulozi Baba?