Mr.laravel
JF-Expert Member
- Oct 1, 2015
- 471
- 513
Nadhani itakua kumekucha hii.![]()
Kama unaishi sinza utakuwa unajua sehemu hii maarufu ya mbuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani itakua kumekucha hii.![]()
Kama unaishi sinza utakuwa unajua sehemu hii maarufu ya mbuzi
Booster[emoji1] [emoji1]
Hapa nimepaelewa...sitoki leteni na kuku wa kukaanga mkuu.
Ugali wa njano?View attachment 686244nakusongea ugali
Ndio hujawai kula?Ugali wa njano?
Ushanichanganya hapa sasa......na nipo jimkoa la baridi
Uma na kisu vinatumikaje hapo....?!
Nilikula enzi nasoma seminary,sikuwahi kuupenda huu ugali!Ndio hujawai kula?
Mbona kama keki za kanda za juu kusini magharibi hizi?![emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona kama keki za kanda za juu kusini magharibi hizi?![emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Pole weeee!Ushanichanganya hapa sasa......na nipo jimkoa la baridi
Mbona chips nyingi hivo
Wangapi mnaijua hii?