Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,193
- 27,078
Ahaa nilitaka kushangaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sufuria la kuongeza lipo pembeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaa nilitaka kushangaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sufuria la kuongeza lipo pembeni
Afadhali umwambieMkuu huku hakuna chura ni misosi tu [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 892327
[emoji39] supper
Acha kabisaaHilo collabo noma asee..
Eeeh maana utakuwa na njaa kali sana kama unaweza kumaliza hilo siniaSomalia[emoji23][emoji23]
We unafanya au unamwambia mwenzio tu?
Hahahaahaa kama hujaelewa basi maana hapa sio mahala pake ujueSekta ipi mbona umesupport tu bila kunijibu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hahahaahaa kama hujaelewa basi maana hapa sio mahala pake ujue
Rafiki leo utanipa?[emoji2357][emoji2357][emoji2357]Tulale basi
Mahaba niteketeze[emoji1562][emoji1562][emoji1562][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji23]Ahsanteee mtoto mzuri kwa ushauri.
Najitahidigi sana kufata kanuni za afya ila kwenye nyama nashindwa kuacha.
Ila sili nyama nyingi ni vifinyango vichache tu kutoa hamu.
Ila ngoja nianze kuachana na nyama nyekundu au niwe nakula kwa uchache wake.
Lov u Ms.N
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] cheichei.Hcho ni chakula cha wanaume wa dar kama ww
[emoji1] [emoji1]Mahaba niteketeze[emoji1562][emoji1562][emoji1562][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji23]
Duuu..Vifinyango vichache? Wakati hapo nimeona robo kilo Na zaidi tena usiku huu unalala ,plus robo ya mchana then Fanya Mara mwezi Na mwaka.uzeeni utapata tabu sana Na kitandani
Wataka supu ya pweza yakhee!!Hivi shemeji yangu toka visiwani na mtaalamu wa mapishi kwenye uzi huu bwana @alibakar yu wapi siku hizi??