witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Twin mi mpenzi wa samaki kupita kiasi na other sea stuffs.....sasa pale samora posta kuna kimin hotel kinaitwa PADE INN....Jomoni ni wanajipilikisha balaaa!...Halafu napenda tambi kwa hiyo nikapakua nyingi [emoji23][emoji23][emoji23]kuweka mdomo nilimaliza kwa tabu sana kile chakula!!
Twin weekend moja nipeleke kwa chef kile basiiii
Ukimaliza ile ishu yako nistue twende pale!