Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Halafu napenda tambi kwa hiyo nikapakua nyingi [emoji23][emoji23][emoji23]kuweka mdomo nilimaliza kwa tabu sana kile chakula!!

Twin weekend moja nipeleke kwa chef kile basiiii
Twin mi mpenzi wa samaki kupita kiasi na other sea stuffs.....sasa pale samora posta kuna kimin hotel kinaitwa PADE INN....Jomoni ni wanajipilikisha balaaa!...

Ukimaliza ile ishu yako nistue twende pale!
 
Mixed fruits smoothie
1541959534486~2.jpeg
 
Back
Top Bottom