Savage Dad
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 1,388
- 2,611
Missyroseeeee una mume[emoji1] [emoji1] [emoji1]Mapishi. Mchele wowote [emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Missyroseeeee una mume[emoji1] [emoji1] [emoji1]Mapishi. Mchele wowote [emoji1]
Okay Ma..ila sipo vizuri kwenye kuelekeza jikaze tu uelewe lol
Nimetumia mchele nusu(loweka na chumvi..inasaidia mchele kutovunjika) nyama nusu ila nlipunguza kidogo, nyanya kubwa 6 (zisage) nyanya ya pakti 1,kitunguu thomu kimoja cha size, curry powder kijiko cha kulia kimoja, pilipili manga kijiko cha chai, vitunguu maji viwili size au waeza tumia 1 kikubwa, tangawizi na chumvi kiasi na mafuta ya kupikia.
Bandika nyama kwangulia tangawizi ya kutosha eka na chumvi ikiiva weka pembeni ila hakikisha supu imebaki ya kutosha..
Kwenye sufuria nyingine kaanga kitunguu maji, kikianza wiva weka nyanya ya pakti koroga for few minutes then mimina zile nyanya za ulizosaga..koroga kidogo then utaweka viungo vilivyobaki. Binafsi viungo(thomu curry powder na pilipili manga) napenda kuweka baada ya nyanya harufu itokee vizuri ila unaeza weka baada ya vitunguu pale.
Utaacha nyanya ziive kabisa zijitenge na mafuta, mimina supu yako ya nyama..then mimina mchele uliolowekwa onja chumvi kama ndogo ongeza. Pika kidogo mimina nyama..acha uive kuwa makini usiungue nyanya ya pakti ina tabia ya kushika kwenye sufuria.
NB..kuna viungo sikutumia kwa vile sikuwa navyo na ni optional kama Bay leaves na maggy cubes kama unavyo unaweza tumia kuongeza ladha.
Hope that helps. [emoji14]
Hahaha kumbeeMapishi. Mchele wowote [emoji1]
Haya maswali hayafai ..tangaza tu nia majibu huko mbele ya safar[emoji3][emoji3]Missyroseeeee una mume[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Oky my dear nmeelewa sasaMapishi yake. Ni msosi maarufu sana Nigeria kama ilivyokwetu pilau
Kwanin lkini[emoji23] [emoji23] [emoji23] .Haya maswali hayafai ..tangaza tu nia majibu huko mbele ya safar[emoji3][emoji3]
Daah yaan mapenzi yako kwa ndizi mzuzu yamezidMzuzu ya kuchemsha +uji wa dona mixa mtindi for bfastView attachment 939995
Niliweka kunogesha tuDagaa mbona wanahesabika
Ndo hivyo kwann[emoji23][emoji23][emoji23]Kwanin lkini[emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Kwanin.
Kama kwa ajili ya kunogesha hapo sawaNiliweka kunogesha tu
Nishaelewa sasa kua kwanin.Ndo hivyo kwann[emoji23][emoji23][emoji23]
Ewaaa..au kama pilau lisilo ma mdalasini ila nyanya nyingi [emoji23] [emoji23] [emoji23]Asante sana ni kama wali nyanya unaongeza nyama
Kabisa..unafanya makeke unaacha mtu aamue yeye [emoji23] [emoji23]Haya maswali hayafai ..tangaza tu nia majibu huko mbele ya safar[emoji3][emoji3]
Misosi hii inatupagawisha sana sisi mabachelor..[emoji23][emoji23]Haya maswali hayafai ..tangaza tu nia majibu huko mbele ya safar[emoji3][emoji3]
Daah yaan mapenzi yako kwa ndizi mzuzu yamezid
Nilikua nikuulize swala la uzushi lkini bora nibaki nalo.
Ewaaa..au kama pilau lisilo ma mdalasini ila nyanya nyingi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Misosi hii inatupagawisha sana sisi mabachelor..[emoji23][emoji23]
Hhhhhh sawa ila usimkize huyo inna ana yake tu.Kabisa..unafanya makeke unaacha mtu aamue yeye [emoji23] [emoji23]
Nipo sehemu ambayo sidhani hata watu wake kama wanajua leo ni sikukuu ya nini,zaidi ya kuona watoto wao hawajaenda shule...so siwezi hata kukukaribishaMkuu sikukuu wapi leo nifate nyuki