Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Ugali wa muhogo + Dagaa mteke (Dagaa wabichi wa kigoma)
Hapo tulikua mtu tatu tunaufinya taratiibuu siku mblili zikizopita..
51f021b654d7eed8b406b06bb88e6e5e.jpg


Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
UGALI wa MUHOGO.

Jamani
 
Okay zinazoga .View attachment 1010043 kama hizi[emoji13]


Sent using Jamii Forums mobile app
Zinanoga tena sana.

Siku ambayo ananielekeza, viungo vyote alikuwa ameshaviandaa.

Na MBATATA za kuchemsha alikuwa ameshaziponda tayari.

Na nyama ya kusaga aliilainisha kwa Viungo na akaikamulia na LIMAO/NDIMU na kisha akaichemsha ikaiva laini sana.

Akanipa kazi ya kutengeneza VIDONGE vya MBATATA kisha nitengeneze kijishimo cha kuweka Nyama ya kusaga, na kisha nakiziba kishimo na kutengeneza KIDONGE cha MBATATA kukirudishia kwa uzuri.

Na kisha pembeni kuna MAYAI yaliyovunjwa na kuvurugwa tayari, kwenye zile BAKULI pana za UDONGO mfano wa SAHANI, ambayo ndio niliokuwa nazamisha na kupakaza KIDONGE cha MBATATA ndani ya MAYAI, kisha MAMA anachukua KIDONGE kimoja baada ya kingine na kuvizamisha kwenye kikaango cha Mafuta ya MOTO yanayochemka.

MAYAI yakiisha tunavunja MAYAI mengine, mpaka KATLESI zote zilipokwisha kupikika.

Yaani mpaka raha.

MAMA na MTOTO wa KIUME jikoni, nikipewa ufundi
 
Back
Top Bottom