HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,563
- 48,223
Siku ya EID Asubuhi kwenye vya kulia na CHAI iwepo na hii kitu.
Nakuambia ni raha iliyoje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku ya EID Asubuhi kwenye vya kulia na CHAI iwepo na hii kitu.
Imetulia
Najuta kwanini nilikuja kwenye UZI huu.
BILINGANYA, BAMIA, KAROTI, PILIPILI HOHO.
KACHORI zinatamanisha
UGALI wa MUHOGO.Ugali wa muhogo + Dagaa mteke (Dagaa wabichi wa kigoma)
Hapo tulikua mtu tatu tunaufinya taratiibuu siku mblili zikizopita..
![]()
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
CHAPATI kwa FIGO.
Huku hakufai hata kidogo.
Tunatamanishana mno
Siku ya EID Asubuhi kwenye vya kulia na CHAI iwepo na hii kitu.
Nakuambia ni raha iliyoje
KATLESI.
Kumbe.
Najuta kwanini nilikuja kwenye UZI huu.
Uroho umeshanikamata
KATLESI.
MAMA siku moja alikuwa anaziandaa, akawa ananiambia ni rahisi sana kuzitengeneza.
Akawa ananipa nipa ufundi wa kutengeneza KATLESI
Naam.Hahahahaha umesahau ulivokua unamfata dada ako Farkhina kipindi tunapika hapa jf alafu wengine tunawadodesha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi napendelea sana za SAMAKI.Kabisa katlesi gani unapendelea zaidi? Me napenda za Samaki Tuna.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja ya kuwa sijui Kupika.
Ila hii naweza kubahatisha.
Nakumbuka nilipokuwa mdogo, wakati wanatuandalia Asubuhi kwa ajili ya CHAI nilikuwa nikiwaona wanavyofanya Jikoni
Kweli TOASTER ile kwa pembeni.
Nilkuwa sijastukia.
Nilijua zile za kinyumbani za kupakaza Mayai kwenye slice ya Mkate kisha unachovya kwenye kikaango cha moto chenye Mafuta kwa mbali
Hata mimi napendelea sana za SAMAKI.
Ila MAMA anazozipendelea yeye ndio ambazo anazipika mara kwa mara ni za NYAMA YA KUSAGA
Ahsante sana.
Ahsante sana.
Nilijua labda nimekosea, maana MAYAI hapo pichani yanaonekana hayakukolea sana.
Tofauti na ile French toast nyingine uliyoiweka
Zinanoga tena sana.