Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]minyoo yangu inaruka na kukanyagana tumboni

Jr[emoji769]
😂🤣😂🤣🤣😂😂 inabidi itulie tuu hakuna namna kwasababu kuna mtu anaumia sana sisi kupost
 
IMG_2181.JPG



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesaga siagi Na mayai then nimeweka unga Na baking powder,for hio layer ya chini ya keki.

Layer ya nyama nimechemsha nyama ya kusaga Na spices Na nimepara Carrot wakati nimeshazima moto. Nimesubiri ipoe nimeweka mayai mabichi.

Nimeweka layer ya cake katika trey juu yake layer ya nyama then juu nimeweka hohoo Na mayai mabichi tena alafu nimechoma kwenye oven.View attachment 1028281


Sent using Jamii Forums mobile app
Sante sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom