Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #8,401
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama mkwe stuka. Huyo hajatoa mahari halafu anasema amepikiwa. Ohooo
Sent using Jamii Forums mobile app
KabisaItabidi niweke ulinzi mkali,alafu me nna wasi wasi ana mchumba mwengine huyu mana mapishi Mazuri alaf anasema amepika nwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkwe siamini kama unashiriki kunihujumu[emoji3][emoji3]Itabidi niweke ulinzi mkali,alafu me nna wasi wasi ana mchumba mwengine huyu mana mapishi Mazuri alaf anasema amepika nwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unakwenda zanzibar kuchukua kadi ya ACT wazalendo pale vuga mtendeni sawa.Kabisa
Huyo kaoa sasa kaona asikose mtoto wa Kizanzibar afanaaleki.
Wiki kesho natimba maguu Zanzibar. Mahari nitakayotajiwa ndo nalipa
Sent using Jamii Forums mobile app
+ Pepsi ya baridView attachment 1051499
Kama unakwenda zanzibar kuchukua kadi ya ACT wazalendo pale vuga mtendeni sawa.
Ila kama kuoa kwa mkwe wangu hiyo sahau[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkwe siamini kama unashiriki kunihujumu[emoji3][emoji3]
Kweli mkwe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya bas unitumie mdudu choma nitapokea kwny boat mkuu, yaani ninahamu nayo mpaka naugua [emoji2356]
Hehee ukitoka hapo usingizi guniaTeam viporoView attachment 1051812
KBLA SJAONA NENO NLIJUA TU HILI N porooTeam viporoView attachment 1051812
wacha weee na seqwaaa
Kula kula kapatikana Kumbe kuna unavyoweza kusema NOOO mkuu..nimechekaaa