Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,512
- 23,925
Siwatesi wenyewe nawapikia vyakula vyao, ila siku nitayokula mfano samaki wa kuoka basi kila mtu atasema yupo kwenye diet na yeye anataka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani unakunywa maji yenye harufu ya limao for breackfast af mchana unakula hivi... hakika siku yako lazima iwe na masaa zaidi ya 24[emoji1][emoji1][emoji1]
Huwa wanasema "When a woman of the family goes on diet, everybody in the family goes on diet" i hope huwatesi wenzako.