Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weekend unifundishe basi babe[emoji848][emoji848][emoji848] huendi popote, mtaalam nipo hapa.
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
Usijali, omba nirudi kwenye mizunguko mapema.
Sikuwahi kujua hilo, ahsante[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2957] yes ooh
Sent from my iPhone using JamiiForums
View attachment 1347723 kitu cha oven perfect...
Mkaa aiseeh sikumbuki mara ya mwisho lini nilitumia kupikia cake I think 20 years ago wakati niko home sijaolewa[emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Katafuta wapi?
Sijaiona hiyo fursa[emoji5]
Hivi SIERA kumbe wewe ni mdada?! Maajabu haya [emoji44] leo ndio nimejua.
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
🤣🤣🤣Unatafta ugomvi na binti yangu wewe[emoji849]
Ngoja nimwite THOMAS SANKARA. Alitaka aoe binti wa farkhina akagonga mwamba
Mie naupenda upishi wa mkaa yaani kuna vyakula hupati ladha hasa murua kama ile ya mkaa mfano mikate ya ufuta,mishkaki ubwabwa ule wa kuweka makaa juu[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39].
Vyakula vyengine naripua tu kwenye pressure cooker maisha yaende hususan kama vile una watoto wadogo.
Mie mwenyewe nlikua najiuliza ivo ivo [emoji23] ila MaashaAllah she is the best. Mtu apewe sifa yake
Ni kweli kabisa mkate wa ufuta mwenzie mkaa..
Mimi wali wa rice cooker siuwezi kabisa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Alhamdulilah
Shukran [emoji23][emoji23][emoji847]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Yaap bread and mozarella cheeseInatumika kama appetizer kwenye vyakula
Unaweza kula na mkate
Unaweza kula kama ilivyo
Unaweza kula kwenye maziwa
Unaweza kuchanganya kwenye pudding
Jr[emoji769]
Yaap bread and mozarella cheese
Namicrowave kidogo nile kama snack
View attachment 1348733
View attachment 1348735
Yaaas healthy eatingSay no to cancer![emoji41][emoji41][emoji41] View attachment 1316404