Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

90D49787-80CF-473A-8A31-F04C3D2912A4.jpeg
D2B87C60-367C-4902-AA19-DF46D98A1FDA.jpeg
 
View attachment 1347723 kitu cha oven perfect...
Mkaa aiseeh sikumbuki mara ya mwisho lini nilitumia kupikia cake I think 20 years ago wakati niko home sijaolewa[emoji23]

Sent from my iPhone using JamiiForums

Mie naupenda upishi wa mkaa yaani kuna vyakula hupati ladha hasa murua kama ile ya mkaa mfano mikate ya ufuta,mishkaki ubwabwa ule wa kuweka makaa juu[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39].

Vyakula vyengine naripua tu kwenye pressure cooker maisha yaende hususan kama vile una watoto wadogo.
 
Hivi SIERA kumbe wewe ni mdada?! Maajabu haya [emoji44] leo ndio nimejua.

cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ

Mie mwenyewe nlikua najiuliza ivo ivo [emoji23] ila MaashaAllah she is the best. Mtu apewe sifa yake
 
Mie naupenda upishi wa mkaa yaani kuna vyakula hupati ladha hasa murua kama ile ya mkaa mfano mikate ya ufuta,mishkaki ubwabwa ule wa kuweka makaa juu[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39].

Vyakula vyengine naripua tu kwenye pressure cooker maisha yaende hususan kama vile una watoto wadogo.

Ni kweli kabisa mkate wa ufuta mwenzie mkaa..
Mimi wali wa rice cooker siuwezi kabisa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom