Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza kula nyama za mbuzi kipindi hiki cha Corona!Kuna siku utaota mbawa kwa unavyopenda kwio
Jr[emoji769]
Corona inatafuta sana watu wenye vitambi!Nakula bata
Jr[emoji769]
Hahahaja sawa mkuu, hivyo maisha mazuri na misosi mizuri ipo vijijiniSasa hiyo si unafunga safari kwenda shamba ndipo ukampate huyo kuku, lakini mjini ni kitu full suit. Unaijua Full suit?
*Full suit = Ugali wa muhogo, mboga kisamvu na uji wa unga wa muhogo ( Maeneo mengine wanaita Babu Baba na Mjukuu) [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
"Fᵒˡˡᵒʷ ᵉˣᶜᵉˡˡᵉⁿᶜᵉ ˢᵘᶜᶜᵉˢˢ ʷⁱˡˡ ᶜʰᵃˢᵉ ᵖᵃⁿᵗˢ ᵈᵒʷN"
Hadi maji umeona, wejamaa noma sana utakuwa una macho ya EagleHili pilau mbona kama maji yalikuwa mengi?? [emoji41][emoji41]
"Fᵒˡˡᵒʷ ᵉˣᶜᵉˡˡᵉⁿᶜᵉ ˢᵘᶜᶜᵉˢˢ ʷⁱˡˡ ᶜʰᵃˢᵉ ᵖᵃⁿᵗˢ ᵈᵒʷN"
Mganga, habari za siku[emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
Ikifika tarehe 10 usije kuanza kulia lia na kupiga watu mizingaJUMATANO YA MWISHO WA MWEZIView attachment 1434443
Vyakula vingine bwana mmmhhh utafikiri naniliu.....[emoji18][emoji18][emoji18] View attachment 1434562
Hahaha na chezea kwa step, life is too shortIkifika tarehe 10 usije kuanza kulia lia na kupiga watu mizinga
Tunguli zinalowa na mvua hapo Mshana jr,
Bora iwe hivyo , hahahaHahaha na chezea kwa step, life is too short