Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Cha asubuhi
849885273-757218393.jpg


Jr[emoji769]
 
Ninavyo jua kama unataka kupungua

Unazichanganya na mtindi maana mtindi nao ni mzur kwa mtu anaetaka kupungua so unachanganya na mtindi unaweka kweny fridge mpaka dk 30 hadi 40 unakunywaa


Kwa wale wanaotaka kujenga mwil mfano watu wa gym ndio wanachanganya na vitu vingine mfano ndizi na maparachch
Halafu limechanganywa na parachichi lenye mafuta?!

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom