Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Siwezi kukususa Dr. Saint Anne(MD)
MUNGU wangu Mimi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ona mwanao ananipa cheo ambacho wala [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nimemiss ile misosi yako[emoji39]
Post nile kwa macho
 
20200620_184634.jpg
 
unaanza kula apple moja
Au unakula kidogo saa 12 jioni portion ndogo ila kama we unafanya mazoezii sana kula tu mi mvivu mazoezii
Dah mkuu yan apple moja then nkalale had kesho! [emoji1786][emoji1786] Masihara hayo. Me nlijua utasema sababu ndo naanza labda niyapige hata 7 au 8 hv kdg afazali [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom