dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Karibuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitu roho inapenda[emoji39][emoji39][emoji39]
Jr[emoji769]
Hahahahaha! AiseeHuu usemi kidogo unipeleke lupango baada ya kula nyara ya sirikali ya shule ya upili pwani
Jr[emoji769]
Hahaa.. aseeh[emoji1609][emoji1609]Huu usemi kidogo unipeleke lupango baada ya kula nyara ya sirikali ya shule ya upili pwani
Jr[emoji769]
Embu nitoe ushamba mama, hivi ndio vinini?troublemaker amkaa unywe chaiView attachment 1529654
Vikalimati..ndio,mkono wangu mwenyeweEmbu nitoe ushamba mama, hivi ndio vinini?
Umepika mwenyewe?
Naomba unifundishe namna ya kupika[emoji4]troublemaker amkaa unywe chaiView attachment 1529654
Huu ni mchele wa mbeya au wa dareeeesalama
Jirani yangu mbona hatukaribishani
Mhmhh inna kama inna, hongera kwa utamu huutroublemaker amkaa unywe chaiView attachment 1529654
Dah umenikumbusha nyumbani Kilimanjaro
Jirani ulikuwa umepotea kwa hewa jirani yangu.Jirani yangu mbona hatukaribishani
Machalari ama!!Dah umenikumbusha nyumbani Kilimanjaro
We kibokoView attachment 1526316
Dinner homemade bbq
Tena machalari ya utumboo tu na maparachichi, machalari ya nyama ya mbuzi weeeeeMachalari ama!!
😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋Tena machalari ya utumboo tu na maparachichi, machalari ya nyama ya mbuzi weeeee