Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kisamvu hichi ?
Dah nimekimiss walahi tena ukiweka karanga hapo .Yeah ...
Yaani balaaa mkosi inakuwa nzuri kweli .Hii mboga ukiipatia kwa fundi wa mapishi yake ni khabari nyingine kabisa
Hapo ndo shida sasaTatizo vitu vitamu vyote wahuni wanavipa majina mabaya sometimes yenye ukakasi
Karibu bossHapa naam
[emoji1635][emoji39][emoji39] ugali una mboga zake bhana. Ila hapo kwenye sembe mimi ningekula basi tuAnaependa kisamvu akaribie....View attachment 1533271
🥂🥂[emoji1635][emoji39][emoji39] ugali una mboga zake bhana. Ila hapo kwenye sembe mimi ningekula basi tu
Hao wasioelewa labda watakua na matatizo[emoji1635][emoji1635]
Kusema ukweli mi mwenyewe napenda sana dona ila wengine hawaelewi kabisa.
Dah la ukweli sanaWadau karibuni jumapili tulivuView attachment 1538906
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
[emoji39][emoji39][emoji39]najuta kuingia hukuLunch [emoji39]View attachment 1539138