Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rafiki nimemeza mate kisado![emoji21]Nyama choma
Karibu, kunywa maji mengi rafiki ili ku replace mate yakoRafiki nimemeza mate kisado![emoji21]
Yani wewe chakula bila featuring za mazao ya kwio huoni raha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kitimoto kwa chapati[emoji1782] View attachment 1602814View attachment 1602815
Kwio ndo nini na noah ndo nini, Hiyo ni nyama ya mbuziHuyu ni kwio au ni noa?
Hahahaha khaa nilikua sijui, asante sanaOk sawa
Kwio ni jogoo
Noa ni kitimoto
hizi chapati ni [emoji91][emoji91][emoji91]..umedownload wapKitimoto kwa chapati[emoji1782] View attachment 1602814View attachment 1602815
Nimepikiwa na wifi yako mpya[emoji6][emoji6][emoji6]hizi chapati ni [emoji91][emoji91][emoji91]..umedownload wap
aahhh wap[emoji2957]..yule mbona namjua hajui hata kupika mboga ya majanNimepikiwa na wifi yako mpya[emoji6][emoji6][emoji6]