Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KaribuHuyo samaki[emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji16]Tobaa roho yangu, nna njaa [emoji33]
hivi unapika nini mkuu🤔🤷♂️
santana kasahani haka unapata wapi hivyo tu klivyo asiongeze asipunguze
Mie nimefuata mfumo nilioona kwa wengi, nyakati nyingine sitoweka matobo.Hivi ni lazima kuyaweka matobo?
aisee,fikiria haragwe na sukari,wali,harage na chai ya sukari sawa mara maharage yawekwe sukari tena big no,nipe hata chukuchuku na chumvi tuHaragwe unaweka sukari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], kwenye makande sawa ila haragwe ni matumizi mabaya ya rasilimali[emoji28]
dah!! umeaharibu siku yangu
Karibusantana kasahani haka unapata wapi hivyo tu klivyo asiongeze asipunguze
Karibusantana kasahani haka unapata wapi hivyo tu klivyo asiongeze asipunguze
Niliweka pembeni [emoji23]Chai iko wapi?[emoji6]
Zote haziwezi lingana ila somehow nahitahidi.Piga picha vizuri ili kama umesukuma chapati ya pembe tano tuone![emoji41]