Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

,
IMG_20201105_205435_6.jpg
 
Haragwe unaweka sukari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], kwenye makande sawa ila haragwe ni matumizi mabaya ya rasilimali[emoji28]
aisee,fikiria haragwe na sukari,wali,harage na chai ya sukari sawa mara maharage yawekwe sukari tena big no,nipe hata chukuchuku na chumvi tu
 
Jamani humu tunakula tunavyotaka na madoido kibao ila utotoni tukumbuke vizuri ile misosi,sielewi ilikua ni njaa ama kitu gani.
Mbeya 80s kulikua na mzee mmoja akitoka mabatini huko anaenda mpaka Iyunga na kisado kina kababu tuliita ni meatballs,yule mzee sijawai kuelewa alikua anatumia viungo gani,nimejaribu kuvuta hisia sana VIUNGO katumia nikaambulia tangawizi,vitunguu na pilipili kibao ila kwingine sijaelewa.nimeshatengeneza zaidi ya mara 10 sijapata ile ladha.sijui yule mzee alitumia kitugani.
ni mara moja tu nilitwanga kila kitu ground mwenyewe ndio kidogoo ilikaribia,zile kababu sijawai kusahau milele.
Mzee labda hayupo ila huko aliko tunamkumbuka.
WEWE UNAMKUMBUKA MTAALAM GANI UTOTONI?👈

😋
 
Back
Top Bottom