Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

IMG_7847.jpg

Moja ya biriani baya kula ilikua hili, wapika mabiriani kuna muda wanatulia tu hela zetu
 
Hiyo biriani au wali wa rangi?! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]

wenyewe wanaita biriani ndiyo maana nikasema ni mojawapo ya biriani baya kula, kuanzia Mchuzi, kachumbari hadi huo wali wenyewe
 
Back
Top Bottom