Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Vile napoza machungu baada ya Yanga kufungwaView attachment 1868063
Sent using Jamii Forums mobile app
Kupooza machungu sasaView attachment 1868109
Kwahiyo pilau inapooza machungu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vile napoza machungu baada ya Yanga kufungwaView attachment 1868063
Sent using Jamii Forums mobile app
Kupooza machungu sasaView attachment 1868109
Kwahiyo pilau inapooza machungu?
Chaliii unajua kula vitu vitamu!😋
Sio mimi huyo. Hiyo nimetumiwa tu picha.Chaliii unajua kula vitu vitamu!😋
Chaliii Jumapili twende mnadani tukatafune mbuzi kwa kondoo!😁😁😁Sio mimi huyo. Hiyo nimetumiwa tu picha.
Mnada wa wapi arif?Chaliii Jumapili twende mnadani tukatafune mbuzi kwa kondoo!😁
Hii nzuri sana kama cha EthiopiaChakula cha kieithiopia "ZIGNI" ni CHAPATI mchanganyiko wa unga wa ngano na mahindi.
ZIGNI huliwa na vitoweo au mbogamboga zilizo changanwa na na pilipili za kihabeshi, vyakula vao waeithiopia wanaweza wakala wao tu, mtu mwingine hawezi kutokana na wingi wa pilipili kali kichaa
View attachment 1864777View attachment 1864779View attachment 1864780View attachment 1864782View attachment 1864785
Mnada wa wapi arif?
Hiyo kanda nimetoka huko last time mwaka 2019 mwezi May.Leo Jumapili tarehe 13.06.2021 karibuni Mnadani Kibamba Chama
Wakuu tukutane Kibamba chama kuna mnada wa nyama ya Mbuzi na Kondoo [emoji238][emoji231][emoji207][emoji238][emoji238] Ntawapa Updates. Tokeni na Familia zenu[emoji1285][emoji1293][emoji2026][emoji2025][emoji2022][emoji2034] financial services haya toka na mdau wako Mshana Jr achana na...www.jamiiforums.com
huu msosi wa ushuani huko, unaweza kuta ni around $25 hiv
Watu wa mbeya na parachichi bhana!!
Mimi hata radha yake siijuiHuu mtindi nimeukubali, uko vizuri sana, tatizo hawajaweka lita 5[emoji2377][emoji2377][emoji2377]
Watu wa mbeya na parachichi bhana!!
Baada ya huo mlo ukijamb@ huo ufyuzi unaotoka harufu yake ni zaidi ya conc. Sulphuric acid dadadadeq!
Kumbe bhange haimzuii mtu kuwa msafi!😁😁😁Safar channelView attachment 1869318