Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

.
FB_IMG_1631111312611.jpg
 
I wiiiiish!!!!😛😛

Mi hata sijawahi kujaribu maana naona kama ntafail tu somewhere 😒😒

Question...kwenye coat yako huwa unatumia breadcrumbs pia??? Maana nayo huwa inachangia sana kuongeza crunchiness.
Unaanza na unga, mayai alafu ndo una-dip kwenye breadcrumbs.
Ohhhh sikuwahi tumia breadcrumbs, ajabu nikifanya fish/chicken fingers natumia breadcrumbs na napata crunchiness nzuri sana, sijawahi fikiria kwenye KFC style, i'll try again, thank you mamasita.
 
Ndege John unakula sana nchi..ukipata ule mchongo uliokuwa unaufukizia pale Asha-rose Migiro hall si ndo itakuwa balaa??!!

Natania.
Nishapata mzee Mungu Ni mwema katibu wa wizara kashaelekezwa next week anipe kituo nikatafune nyama asee na maafisa wengine
 
Back
Top Bottom