Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwiiii aisee nimedondosha mate
Ohhhh sikuwahi tumia breadcrumbs, ajabu nikifanya fish/chicken fingers natumia breadcrumbs na napata crunchiness nzuri sana, sijawahi fikiria kwenye KFC style, i'll try again, thank you mamasita.I wiiiiish!!!!😛😛
Mi hata sijawahi kujaribu maana naona kama ntafail tu somewhere 😒😒
Question...kwenye coat yako huwa unatumia breadcrumbs pia??? Maana nayo huwa inachangia sana kuongeza crunchiness.
Unaanza na unga, mayai alafu ndo una-dip kwenye breadcrumbs.
Mkuu wanapatikana wapi senene😋
Nishapata mzee Mungu Ni mwema katibu wa wizara kashaelekezwa next week anipe kituo nikatafune nyama asee na maafisa wengineNdege John unakula sana nchi..ukipata ule mchongo uliokuwa unaufukizia pale Asha-rose Migiro hall si ndo itakuwa balaa??!!
Natania.
BukobaMkuu wanapatikana wapi senene😋
Mkuu hicho kipaja hujakitendea haki