Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Pale unapoamua kuunganisha breakfast na lunch pamojaView attachment 1989623
Screenshot_20211028-211634.jpg
 
He! Sasa urojo wa kichina viiipi ankali wakati nimeupsta Unguja yakheee, au kwa vile nimesema mie amiii?

Urojo wachagua weye ati wakutilie vitu gani, kama wataka mdalasini, kachori, mishkaki, mayai, mbatata, saladi. Chips za mihogo..hebu usinshughulishe.
Kula urojo shekhe ukilendemka urukiwe tu.
 
Back
Top Bottom