Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

20220122_125710.jpg
 
Mtu yoyote anaemtumkania mtu mwingine mama yake simpendi mimi. Achana nae huyo usije pewa ban
Halafu Mama wa mtu mmoja huwa ni Mama wa kila mtu kwa sababu Mama wote ni kitu kimoja.

Ukimwona mtu anamtukana Mama wa mtu mwingine jua huyo mtu hana akili kwa sababu hajui ya kwamba Mama wote ikiwa ni pamoja na Mama yake ni kitu kimoja.
 
Back
Top Bottom