Maziwa ya lita 1, chukua tende za ¼ kilo,
Toa kokwa za tende ibaki ile nyama ya tende [emoji39] yenyewe, kisha ziloweke kwenye maziwa unaweza kucha kwa muda au ukasaga hapo hapo
Ikikupendeza unaweza weka ndizi [emoji529]
Unaweza sagia na karanga, korosho, wemgine hadi mihogo.
Binafsi napenda kuweka karanga ama korosho baada ya kuwa nishasaga juice, ndio naweka karanga ama korosho [emoji39]
Umenikumbusha ngoja nikaitoe kwenye friji niigide[emoji23]
Mambo ya dumu la lita 5 kukaa mwezo mzima ni wakishua
Sisi wa USWAHILINI MATOLA siku 3 tu, juisi kama maji [emoji23]