Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dr nimependa gheto lako.
Usisahau zawadi tu 🤓Dr nimependa gheto lako.
Naomba niwe mgeni wako tafadhali.
#YNWA
Location please....Jioni ya Leo bana nipo pahali napata hii nundu ni tamu sana.View attachment 2514949
Sanara mikocheniLocation please....
Naomba recipe yako unayotumia kupika 1/2 kg na ya 1kgUkifanya mazoezi ya kupamba mara kwa mara mbona utakuwa sawa
Margarine 1/2kgNaomba recipe yako unayotumia kupika 1/2 kg na ya 1kg
Najaribu recipes mbalimbali.
Oh thank you[emoji7][emoji120]Margarine 1/2kg
Unga 1/2kg
Mayai 8-10 inategemea na ukubwa wa mayai
Sukari 1/2kg ila napunguza kama kijiko kimoja
Baking powder 2 vijiko vya chai
Maziwa kidogo (kama vijiko 1-3) ya supu kuifanya keki isiwe kavu
Vanilla kijiko 1 cha chai(kidogo).
Kwa kilo moja nafanya x2 yake, na wakati wa kuweka unga uwa siupigi sana kama mwanzo
hizo ni home made jirani karibuChapati kama za pale Hindu mandal [emoji7]
Mavyakula ya warembo wa jf...kumbe mnajja kupika mie nakajua nyie ni wale wa burger kfc pizza hut na chips yaimzabzab unashangaa nin
Hahaha mbona vya kawaida swahil foodMavyakula ya warembo wa jf...kumbe mnajja kupika mie nakajua nyie ni wale wa burger kfc pizza hut na chips yai
Mambo ya vyuku mie ndio napendaa. Nikaribishe basi mlonwa usikuHahaha mbona vya kawaida swahil food