Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Wapenda chipsi tuhamie kwenye chips mboga mboga [emoji23][emoji23][emoji23]
Kabechi,hoho,kitunguu,karoti,nyanya,na soseji mbili
Au mnaonaje
Cc lizzy,Depal trudie
Nilishakula hii lakini haikuwa na soseji, yaani utasahau kabisa kuhusu chips. Ngoja niongezee na soseji...umenitanisha mnoo
 
20230306_192907.jpg
 
Inapikwaje hii? Msaada tafadhali 🤔🤔
Kata kabichi size unayopenda na kiasi kutokana na wingi wa mayai
Hoho kipande
Kitunguu kimoja
Karoti nusu
Chumvi
Nyanya moja ukipenda
Katakata kisha changanya na mayai weka na chumvi na pilipili manga ukipenda
Weka kikaango kwa moto na mafuta yakichemka mwaga kwenye kikaango kisha sambaza halaf punguza moto funika na mfuniko ukiona chini imeshikana pote chukua sahani funika kwenye kikaango ili upande mwingine uive pia kisha acha chukua upawa uwe unagadamiza ili mayai yaive kwa ndani
Kisha itakuwa tayari
 
Shukran sana
 
Back
Top Bottom