Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Samahani, inatengenezwaje?
Maziwa
Hiriki ya unga
Unga wa custard
Sukari
Weka unga wa custard kwenye maziwa kipimo unachotaka na hiriki,sukari
kisha tenga jikon anza kukoroga kama uji usiwe na mabonge koroga mpaka ichemke inabadilika na kuwa nzito Kisha ipua iache mimina kwa bakuli ikipoa weka kwa friji
Wengine wanakunywa kama uji hivyo mi napenda naiweka kwa friji iwe ya baridi
Ukiwa na matunda unaweza changanya zabibu,nanasi inapendeza
 
Good afternoon!
D68300A1-2658-46EF-9620-B7F8E6CF6969.jpeg
 
Back
Top Bottom