Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejitahidi
Sawa lakin nimeweka vinegar kama imezidi hivi loooUmejitahidi
Next time gonga sufuria chini mara kadhaa kutoa upepo
Shida ni baking powder.Sawa lakin nimeweka vinegar kama imezidi hivi looo
Shida ni baking powder.
Vinegar huwa haina shida hata ikizidi
Imezidi.Keki robo unaweka baking kiasi gani ?
Nimeweka kijiko kimoja cha chakula
SawaImezidi.
Ungeweka kijiko Cha chai (kile kidogo kabisa)
Perfect 👌👌View attachment 2618935
Unaonaje leo ???
🥰Perfect 👌👌
Halafu baking powder weka mwishoni kabisa ukishamaliza kuchanganya kila kitu.Sawa
Sawa hivi kwanin keki inapasuka??kwa juuHalafu baking powder weka mwishoni kabisa ukishamaliza kuchanganya kila kitu.
Najaribu kufikiria ni nini umekosea, bado haijachambuka inavyotakiwa. Kuna vipimo havikukaa sawa.
Yes ni kweli si unajua ndio najifunza nadhan vipimoNajaribu kufikiria ni nini umekosea, bado haijachambuka inavyotakiwa. Kuna vipimo havikukaa sawa.
Oooh!! Basi unaelekea kuzuri.Yes ni kweli si unajua ndio najifunza nadhan vipimo
🎾MAKOSA UNAYOFANYA KATIKA UPISHI WA CAKE🎾PopSawa hivi kwanin keki inapasuka??kwa juu
Mtupe maujuz zaidiOooh!! Basi unaelekea kuzuri.